Native Bible

Mark 15:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakapiga kelele wakisema, “Msulubishe!”

Mark 15:13 in English

Mark 15:13 · Berean Standard Bible

And they shouted back, “Crucify Him!”

Context

11Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake. 12Pilato akawauliza tena, “Basi mnataka nifanye nini na huyu mtu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?” 13Wakapiga kelele wakisema, “Msulubishe!” 14Pilato akawauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakapiga kelele kwa nguvu zaidi, wakisema, “Msulubishe!” 15Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.