Marko 14:69
Mark 14:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yule mtumishi wa kike alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”
Mark 14:69 in English
Mark 14:69 · Berean Standard Bible
There the servant girl saw him and again said to those standing nearby, “This man is one of them.”
Context
67Alipomwona Petro akiota moto, akamtazama sana, akamwambia,
“Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu, Mnazareti.” 68Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia. 69Yule mtumishi wa kike alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.” 70Lakini Petro akakana tena.
Baada ya muda kidogo wale waliokuwa wamesimama hapo karibu na Petro wakamwambia, “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana wewe pia ni Mgalilaya!” 71Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.