Marko 14:62
Mark 14:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akajibu, “Mimi ndimi. Nanyi mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni.”
Mark 14:62 in English
Mark 14:62 · Berean Standard Bible
“I am,” said Jesus, “and you will see the Son of Man sitting at the right hand of Power * and coming with the clouds of heaven.”*
Context
60Basi kuhani mkuu akasimama mbele yao, akamuuliza Yesu, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?” 61Lakini Yesu akakaa kimya, hakusema neno lolote.
Kuhani mkuu akamuuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu Aliyebarikiwa?” 62Yesu akajibu, “Mimi ndimi. Nanyi mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni.” 63Kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? 64Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?”
Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.