Native Bible

Mark 10:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akiwa analivua lile joho lake, alisimama na kumwendea Yesu.

Mark 10:50 in English

Mark 10:50 · Berean Standard Bible

Throwing off his cloak, Bartimaeus jumped up and came to Jesus.

Context

48Watu wengi wakamkemea, wakamwambia akae kimya, lakini yeye akazidi kupaza sauti, akisema, “Mwana wa Daudi, nihurumie!” 49Yesu akasimama na kusema, “Mwiteni.” Hivyo wakamwita yule mtu kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Inuka, anakuita.” 50Akiwa analivua lile joho lake, alisimama na kumwendea Yesu. 51Yesu akamuuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Yule kipofu akajibu, “Mwalimu, nataka kuona.” 52Yesu akamwambia, “Nenda zako, imani yako imekuponya.” Mara akapata kuona, akamfuata Yesu njiani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.