Marko 1:2
Mark 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako”:
Mark 1:2 in English
Mark 1:2 · Berean Standard Bible
As it is written in Isaiah the prophet:* “Behold, I will send My messenger ahead of You, who will prepare Your way.”*
Context
1Mwanzo wa Injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. 2Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya:
“Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako,
atakayetengeneza njia mbele yako”: 3“sauti ya mtu aliaye nyikani.
‘Itengenezeni njia ya Bwana,
yanyoosheni mapito yake.’ ” 4Yohana alikuja, akibatiza huko nyikani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.