Native Bible

Mark 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,

Mark 1:12 in English

Mark 1:12 · Berean Standard Bible

At once the Spirit drove Jesus into the wilderness,

Context

10Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua. 11Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 12Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani, 13naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia. 14Baada ya Yohana kukamatwa na kutiwa gerezani, Yesu aliingia Galilaya akaanza kuhubiri habari njema ya Mungu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.