Native Bible

Mark 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua.

Mark 1:10 in English

Mark 1:10 · Berean Standard Bible

As soon as Jesus came up out of the water, He saw * the heavens breaking open and the Spirit descending on Him like a dove.

Context

8Mimi nawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.” 9Wakati huo Yesu akaja kutoka Nazareti ya Galilaya, naye akabatizwa na Yohana katika Mto Yordani. 10Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua. 11Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 12Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.