Mathayo 9:26
Matthew 9:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Habari hizi zikaenea katika maeneo yale yote.
Matthew 9:26 in English
Matthew 9:26 · Berean Standard Bible
And the news about this spread throughout that region.
Context
24akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka. 25Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka. 26Habari hizi zikaenea katika maeneo yale yote. 27Yesu alipokuwa akiondoka mahali pale, vipofu wawili wakamfuata wakipiga kelele kwa nguvu na kusema, “Mwana wa Daudi, tuhurumie!” 28Alipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Yesu akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?”
Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.