Native Bible

Matthew 7:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.

Matthew 7:29 in English

Matthew 7:29 · Berean Standard Bible

because He taught as one who had authority, and not as their scribes.

Context

27Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, nao upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa.” 28Yesu alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake, 29kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.