Mathayo 6:21
Matthew 6:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo pia moyo wako utakapokuwa.
Matthew 6:21 in English
Matthew 6:21 · Berean Standard Bible
For where your treasure is, there your heart will be also.
Context
19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba. 20Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba. 21Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo pia moyo wako utakapokuwa. 22“Jicho ni taa ya mwili. Kama jicho lako ni nyofu, mwili wako wote utajaa nuru. 23Lakini kama jicho lako ni ovu, mwili wako wote utajawa na giza. Kwa hiyo basi, kama nuru iliyomo ndani yako ni giza, hilo ni giza kuu namna gani!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.