Native Bible

Matthew 4:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makutano makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli,* Yerusalemu, Uyahudi na kutoka ngʼambo ya Mto Yordani.

Matthew 4:25 in English

Matthew 4:25 · Berean Standard Bible

The large crowds that followed Him came from Galilee, the Decapolis,* Jerusalem, Judea, and beyond the Jordan.

Context

23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu. 24Kwa hiyo sifa zake zikaenea sehemu zote za Shamu, nao watu wakamletea wote waliokuwa na magonjwa mbalimbali na maumivu, waliopagawa na pepo wachafu, wenye kifafa na waliopooza, naye akawaponya. 25Makutano makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli,* Yerusalemu, Uyahudi na kutoka ngʼambo ya Mto Yordani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.