Native Bible

Matthew 26:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu.

Matthew 26:16 in English

Matthew 26:16 · Berean Standard Bible

So from then on Judas looked for an opportunity to betray Jesus.

Context

14Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani 15na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha. 16Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu. 17Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Yesu wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?” 18Akajibu, “Nendeni kwa mtu fulani huko mjini, mkamwambie, ‘Mwalimu asema hivi: Saa yangu imekaribia. Nitaiadhimisha Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.