Native Bible

Matthew 24:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’* nao watawadanganya wengi.

Matthew 24:5 in English

Matthew 24:5 · Berean Standard Bible

For many will come in My name, claiming, ‘I am the Christ,’ and will deceive many.

Context

3Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?” 4Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye. 5Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’* nao watawadanganya wengi. 6Mtasikia habari za vita na matetesi ya vita. Angalieni msitishike, kwa maana haya hayana budi kutukia. Lakini ule mwisho bado. 7Taifa litainuka dhidi ya taifa, na ufalme dhidi ya ufalme. Kutakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.