Native Bible

Matthew 24:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.

Matthew 24:42 in English

Matthew 24:42 · Berean Standard Bible

Therefore keep watch, because you do not know the day on which your Lord will come.

Context

40Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. 41Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. 42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu. 43Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua ni wakati gani wa usiku ambao mwizi atakuja, angekesha na hangekubali nyumba yake kuvunjwa. 44Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.