Mathayo 24:40
Matthew 24:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Matthew 24:40 in English
Matthew 24:40 · Berean Standard Bible
Two men will be in the field: one will be taken and the other left.
Context
38Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. 39Nao hawakujua lolote mpaka gharika ilipokuja ikawakumba wote. Hivyo ndivyo itakavyokuwa atakapokuja Mwana wa Adamu. 40Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. 41Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. 42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.