Mathayo 23:2
Matthew 23:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,
Matthew 23:2 in English
Matthew 23:2 · Berean Standard Bible
“The scribes and Pharisees sit in Moses’ seat.
Context
1Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake: 2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose, 3hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri. 4Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.