Mathayo 22:8
Matthew 22:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kisha akawaambia watumishi wake, ‘Karamu ya arusi imeshakuwa tayari, lakini wale niliowaalika hawakustahili kuja.
Matthew 22:8 in English
Matthew 22:8 · Berean Standard Bible
Then he said to his servants, ‘The wedding banquet is ready, but those I invited were not worthy.
Context
6Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua. 7Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto. 8“Kisha akawaambia watumishi wake, ‘Karamu ya arusi imeshakuwa tayari, lakini wale niliowaalika hawakustahili kuja. 9Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’ 10Wale watumishi wakaenda barabarani, wakawakusanya watu wote waliowaona, wema na wabaya. Ukumbi wa arusi ukajaa wageni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.