Mathayo 22:20
Matthew 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”
Matthew 22:20 in English
Matthew 22:20 · Berean Standard Bible
“Whose image is this,” He asked, “and whose inscription?”
Context
18Lakini Yesu, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? 19Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. 20Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” 21Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Basi Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.” 22Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.