Native Bible

Matthew 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari.

Matthew 22:19 in English

Matthew 22:19 · Berean Standard Bible

Show Me the coin used for the tax.” And they brought Him a denarius.*

Context

17Tuambie basi, wewe unaonaje? Je, ni halali kulipa kodi kwa Kaisari, au la?” 18Lakini Yesu, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? 19Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. 20Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” 21Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.