Mathayo 22:14
Matthew 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.”
Matthew 22:14 in English
Matthew 22:14 · Berean Standard Bible
For many are called, but few are chosen.”
Context
12Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema. 13“Ndipo mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Mfungeni mikono na miguu mkamtupe nje, kwenye giza. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.’ 14“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” 15Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Yesu katika maneno yake. 16Wakatuma wanafunzi wao kwake pamoja na Maherode. Nao wakasema, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwadilifu na unafundisha njia ya Mungu katika kweli bila kuyumbishwa na mtu wala kuonyesha upendeleo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.