Mathayo 21:39
Matthew 21:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.
Matthew 21:39 in English
Matthew 21:39 · Berean Standard Bible
So they seized him and threw him out of the vineyard and killed him.
Context
37Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’ 38“Lakini wale wapangaji walipomwona mwanawe, wakasemezana wao kwa wao, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, ili tuchukue urithi wake.’ 39Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua. 40“Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?” 41Wakamjibu, “Kwa huzuni kuu atawaangamiza kabisa hao wadhalimu na kulipangisha shamba lake la mizabibu kwa wakulima wengine ambao watampatia fungu lake la matunda wakati wa mavuno.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.