Mathayo 20:9
Matthew 20:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja.
Matthew 20:9 in English
Matthew 20:9 · Berean Standard Bible
The workers who were hired about the eleventh hour came and each received a denarius.
Context
7“Wakamjibu, ‘Ni kwa sababu hakuna yeyote aliyetuajiri.’
“Akawaambia, ‘Ninyi nanyi nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu.’ 8“Ilipofika jioni, yule mwenye shamba la mizabibu akamwambia msimamizi, ‘Waite hao vibarua na uwalipe ujira wao, ukianzia na wale walioajiriwa mwisho na kuishia na wale walioajiriwa kwanza.’ 9“Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja. 10Hivyo wale walioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipokea dinari moja. 11Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.