Native Bible

Matthew 20:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba,

Matthew 20:11 in English

Matthew 20:11 · Berean Standard Bible

On receiving their pay, they began to grumble against the landowner.

Context

9“Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja. 10Hivyo wale walioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipokea dinari moja. 11Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba, 12wakisema, ‘Hawa watu walioajiriwa mwisho wamefanya kazi kwa muda wa saa moja tu, nawe umewafanya sawa na sisi ambao tumestahimili taabu na joto lote la mchana kutwa?’ 13“Yule mwenye shamba akamjibu mmoja wao, ‘Rafiki, sijakudhulumu. Je, hukukubaliana nami kwa ujira wa kawaida wa dinari moja?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.