Native Bible

Matthew 2:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri

Matthew 2:19 in English

Matthew 2:19 · Berean Standard Bible

After Herod died, an angel of the Lord appeared in a dream to Joseph in Egypt.

Context

17Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia. 18“Sauti ilisikika huko Rama, maombolezo na kilio kikubwa, Raheli akilia kwa ajili ya wanawe, akikataa kufarijiwa, kwa sababu hawako tena.” 19Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri 20na kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.” 21Basi Yosefu, akaondoka akamchukua mtoto na mama yake wakaenda mpaka nchi ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.