Native Bible

Matthew 19:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule kijana akasema, “Hizi zote nimezishika. Je, bado nimepungukiwa na nini?”

Matthew 19:20 in English

Matthew 19:20 · Berean Standard Bible

“All these I have kept,” said the young man. “What do I still lack?”

Context

18Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Yesu akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, 19waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako.” 20Yule kijana akasema, “Hizi zote nimezishika. Je, bado nimepungukiwa na nini?” 21Yesu akamwambia, “Kama ukitaka kuwa mkamilifu, nenda, ukauze vitu vyote ulivyo navyo, na hizo fedha uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.” 22Yule kijana aliposikia hayo, akaenda zake kwa huzuni, kwa sababu alikuwa na mali nyingi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.