Native Bible

Matthew 13:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Matthew 13:58 in English

Matthew 13:58 · Berean Standard Bible

And He did not do many miracles there, because of their unbelief.

Context

56Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?” 57Wakachukizwa naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani kwake.” 58Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.