Malaki 2:1
Malachi 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, enyi makuhani.
Malachi 2:1 in English
Malachi 2:1 · Berean Standard Bible
“And now this decree is for you, O priests:
Context
1“Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, enyi makuhani. 2Kama hamtasikiliza, na kama hamtaki kuielekeza mioyo yenu kuheshimu Jina langu, nitatuma laana juu yenu, nami nitalaani baraka zenu. Naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamkuielekeza mioyo yenu kuniheshimu mimi,” Asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 3“Kwa sababu yenu nitawakatilia mbali wazao wenu. Nitazipaka nyuso zenu mavi, mavi ya dhabihu zenu. Nanyi mtafukuzwa pamoja nazo mtoke mbele zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.