Luka 5:1
Luke 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku moja Yesu alipokuwa amesimama karibu na Ziwa la Genesareti,* watu wengi wakiwa wanasongana kumzunguka ili wapate kusikia neno la Mungu,
Luke 5:1 in English
Luke 5:1 · Berean Standard Bible
On one occasion, while Jesus was standing by the Lake of Gennesaret * with the crowd pressing in on Him to hear the word of God,
Context
1Siku moja Yesu alipokuwa amesimama karibu na Ziwa la Genesareti,* watu wengi wakiwa wanasongana kumzunguka ili wapate kusikia neno la Mungu, 2akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao. 3Akaingia katika mojawapo ya hizo mashua ambayo ilikuwa ya Simoni, akamwomba aisogeze ndani ya maji kidogo kutoka ufuoni. Kisha akaketi na kufundisha watu akiwa mle ndani ya mashua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.