Native Bible

Luke 4:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Uyahudi.

Luke 4:44 in English

Luke 4:44 · Berean Standard Bible

And He continued to preach in the synagogues of Judea.*

Context

42Kesho yake, kulipopambazuka, Yesu alikwenda mahali pa faragha. Watu wengi wakawa wanamtafuta kila mahali, nao walipomwona wakajaribu kumzuia asiondoke. 43Lakini yeye akawaambia, “Imenipasa kuhubiri habari njema za Ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, kwa maana kwa kusudi hili nilitumwa.” 44Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Uyahudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.