Luka 3:20
Luke 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani.
Luke 3:20 in English
Luke 3:20 · Berean Standard Bible
Herod added this to them all: He locked John up in prison.
Context
18Basi, kwa maonyo mengine mengi Yohana aliwasihi na kuwahubiria watu Habari Njema. 19Lakini Yohana alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya, 20Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani. 21Baada ya watu wote kubatizwa, Yesu naye akabatizwa. Naye alipokuwa akiomba, mbingu zilifunguka. 22Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa umbo kama la hua, nayo sauti kutoka mbinguni ikasema: “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.