Luka 24:16
Luke 24:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini macho yao yakazuiliwa ili wasimtambue.
Luke 24:16 in English
Luke 24:16 · Berean Standard Bible
But their eyes were kept from recognizing Him.
Context
14Walikuwa wakizungumza wao kwa wao kuhusu mambo yote yaliyotukia. 15Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, 16lakini macho yao yakazuiliwa ili wasimtambue. 17Akawauliza, “Ni mambo gani haya mnayozungumza wakati mnatembea?”
Wakasimama, nyuso zao zikionyesha huzuni. 18Mmoja wao, aliyeitwa Kleopa, akamuuliza, “Je, wewe ndiye peke yako mgeni huku Yerusalemu ambaye hufahamu mambo yaliyotukia humo siku hizi?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.