Luka 23:56
Luke 23:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.
Luke 23:56 in English
Luke 23:56 · Berean Standard Bible
Then they returned to prepare spices and perfumes. And they rested on the Sabbath, according to the commandment.
Context
54Ilikuwa Siku ya Maandalizi, nayo Sabato ilikuwa karibu kuanza. 55Wale wanawake waliokuwa wamekuja pamoja na Yesu wakimfuata kutoka Galilaya wakamfuata Yosefu, wakaliona kaburi na jinsi mwili wa Yesu ulivyolazwa. 56Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.