Native Bible

Luke 21:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza.

Luke 21:38 in English

Luke 21:38 · Berean Standard Bible

And early in the morning all the people would come to hear Him at the temple.

Context

36Kesheni daima na mwombe ili mweze kuokoka na yale yote yatakayotokea na kusimama mbele ya Mwana wa Adamu.” 37Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha. 38Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.