Luka 21:37
Luke 21:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha.
Luke 21:37 in English
Luke 21:37 · Berean Standard Bible
Every day Jesus taught at the temple, but every evening He went out to spend the night on the Mount of Olives.
Context
35Kwa maana kama vile mtego unasavyo, ndivyo siku hiyo itakavyowapata wanadamu wote waishio katika uso wa dunia yote. 36Kesheni daima na mwombe ili mweze kuokoka na yale yote yatakayotokea na kusimama mbele ya Mwana wa Adamu.” 37Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha. 38Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.