Luka 21:2
Luke 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.
Luke 21:2 in English
Luke 21:2 · Berean Standard Bible
and He saw a poor widow put in two small copper coins.*
Context
1Yesu alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. 2Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba. 3Yesu akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote. 4Hawa watu wengine wote wametoa sadaka kutokana na wingi wa mali zao. Lakini huyu mjane ametoa kutokana na umaskini wake vyote alivyokuwa navyo, hata kile alichohitaji ili kuishi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.