Native Bible

Luke 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku moja, Yesu alipokuwa akifundisha watu Hekaluni na kuhubiri habari njema, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, pamoja na wazee wa watu wakamjia.

Luke 20:1 in English

Luke 20:1 · Berean Standard Bible

One day as Jesus was teaching the people in the temple courts * and proclaiming the gospel, the chief priests and scribes, together with the elders, came up to Him.

Context

1Siku moja, Yesu alipokuwa akifundisha watu Hekaluni na kuhubiri habari njema, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, pamoja na wazee wa watu wakamjia. 2Wakamuuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?” 3Akawajibu, “Nami nitawauliza swali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.