Native Bible

Luke 19:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia,

Luke 19:41 in English

Luke 19:41 · Berean Standard Bible

As Jesus approached Jerusalem and saw the city, He wept over it

Context

39Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.” 40Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.” 41Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia, 42akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako. 43Hakika siku zinakujia, ambazo adui zako watakuzingira, nao watakuzunguka pande zote na kukuzuilia ndani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.