Native Bible

Luke 19:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji.

Luke 19:1 in English

Luke 19:1 · Berean Standard Bible

Then Jesus entered Jericho and was passing through.

Context

1Yesu akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji. 2Tazama, palikuwa na mtu mmoja mkuu wa watoza ushuru naye alikuwa tajiri, jina lake Zakayo. 3Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Yesu ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.