Luka 14:13
Luke 14:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali ufanyapo karamu, waalike maskini, vilema na vipofu,
Luke 14:13 in English
Luke 14:13 · Berean Standard Bible
But when you host a banquet, invite the poor, the crippled, the lame, and the blind,
Context
11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.” 12Kisha Yesu akamwambia yule aliyewaalika, “Uandaapo karamu ya chakula cha mchana au cha jioni, usialike rafiki zako au ndugu zako au jamaa zako au majirani zako walio matajiri tu. Ukifanya hivyo, wao nao wanaweza kukualika kwao, nawe ukawa umelipwa kile ulichofanya na kupata thawabu yako. 13Bali ufanyapo karamu, waalike maskini, vilema na vipofu, 14nawe utabarikiwa kwa sababu hawa hawana uwezo wa kukulipa. Mungu atakulipa wakati wa ufufuo wa wenye haki.” 15Mmoja wa wale waliokuwa pamoja naye mezani aliposikia hivi akamwambia Yesu, “Amebarikiwa mtu yule atakayekula katika karamu ya Ufalme wa Mungu!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.