Luka 13:1
Luke 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa.
Luke 13:1 in English
Luke 13:1 · Berean Standard Bible
At that time some of those present told Jesus about the Galileans whose blood Pilate had mixed with their sacrifices.
Context
1Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa. 2Yesu akawauliza, “Mnadhani kwamba hawa Wagalilaya ambao walikufa kifo cha namna hiyo walikuwa na dhambi kuwazidi Wagalilaya wengine wote? 3La hasha! Ninyi nanyi msipotubu, mtaangamia vivyo hivyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.