Native Bible

Luke 12:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.

Luke 12:43 in English

Luke 12:43 · Berean Standard Bible

Blessed is that servant whose master finds him doing so when he returns.

Context

41Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?” 42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa? 43Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. 44Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote. 45Lakini kama yule mtumishi atasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu anakawia kurudi,’ kisha akaanza kuwapiga wale watumishi wa kiume na wa kike, na kula na kunywa na kulewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.