Luka 11:38
Luke 11:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.
Luke 11:38 in English
Luke 11:38 · Berean Standard Bible
But the Pharisee was surprised to see that Jesus did not first wash before the meal.
Context
36Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” 37Yesu alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Yesu akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani. 38Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula. 39Ndipo Bwana akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na uovu. 40Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.