Native Bible

Luke 11:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli,* yule mkuu wa pepo wachafu wote.”

Luke 11:15 in English

Luke 11:15 · Berean Standard Bible

but some of them said, “It is by Beelzebul,* the prince of the demons, that He drives out demons.”

Context

13Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!” 14Basi Yesu alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu ukashangaa. 15Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli,* yule mkuu wa pepo wachafu wote.” 16Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 17Yesu akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.