Luka 1:33
Luke 1:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”
Luke 1:33 in English
Luke 1:33 · Berean Standard Bible
and He will reign over the house of Jacob forever. His kingdom will never end!”
Context
31Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu. 32Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.” 34Maria akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” 35Malaika akamjibu, “Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, nazo nguvu zake Yeye Aliye Juu Sana zitakufunika kama kivuli. Kwa hiyo mtoto atakayezaliwa atakuwa mtakatifu, naye ataitwa Mwana wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.