Luka 1:30
Luke 1:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu.
Luke 1:30 in English
Luke 1:30 · Berean Standard Bible
So the angel told her, “Do not be afraid, Mary, for you have found favor with God.
Context
28Naye malaika akaja kwake akamwambia: “Salamu, wewe uliyebarikiwa, Bwana yu pamoja nawe!” 29Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?” 30Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu. 31Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu. 32Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.