Walawi 9:16
Leviticus 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aroni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa.
Leviticus 9:16 in English
Leviticus 9:16 · Berean Standard Bible
He presented the burnt offering and offered it according to the ordinance.
Context
14Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu. 15Kisha Aroni akaleta sadaka ile iliyokuwa kwa ajili ya watu. Akachukua yule mbuzi wa sadaka ya dhambi kwa ajili ya watu, akamchinja na kumtoa kwa ajili ya sadaka ya dhambi, kama alivyofanya kwa ile ya kwanza. 16Aroni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa. 17Pia akaleta sadaka ya nafaka, akachukua konzi moja na kuiteketeza juu ya madhabahu, pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya asubuhi. 18Akachinja maksai na kondoo dume kama sadaka ya amani kwa ajili ya watu. Wanawe Aroni wakampa ile damu, naye akainyunyiza kwenye madhabahu pande zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.