Walawi 8:34
Leviticus 8:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lile lililofanyika leo liliagizwa na Bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Leviticus 8:34 in English
Leviticus 8:34 · Berean Standard Bible
What has been done today has been commanded by the LORD in order to make atonement on your behalf.
Context
32Kisha teketeza nyama na mikate iliyobaki. 33Msitoke kwenye ingilio la Hema la Kukutania kwa muda wa siku saba, mpaka siku zenu za kuwekwa wakfu ziwe zimetimia, kwa kuwa muda wenu wa kuwekwa wakfu utakuwa siku saba. 34Lile lililofanyika leo liliagizwa na Bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu. 35Lazima mkae kwenye ingilio la Hema la Kukutania usiku na mchana kwa siku saba, na kufanya lile Bwana analolitaka, ili kwamba msife; kwa kuwa hilo ndilo nililoamriwa.” 36Kwa hiyo Aroni na wanawe wakafanya kila kitu Bwana alichoamuru kupitia kwa Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.