Native Bible

Leviticus 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose:

Leviticus 6:1 in English

Leviticus 6:1 · Berean Standard Bible

And the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose: 2“Kama mtu yeyote akitenda dhambi, naye si mwaminifu kwa Bwana kwa kumdanganya jirani yake kuhusu kitu fulani alichokabidhiwa, au kimeachwa chini ya utunzaji wake, au kimeibwa, au kama akimdanganya, 3au akiokota mali iliyopotea na akadanganya, au kuapa kwa uongo, au kama akitenda dhambi yoyote ambayo watu waweza kuitenda;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.