Walawi 27:3
Leviticus 27:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
thamani ya kukomboa mwanaume mwenye kati ya umri wa miaka ishirini na miaka sitini itakuwa shekeli hamsini* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu;
Leviticus 27:3 in English
Leviticus 27:3 · Berean Standard Bible
if the valuation concerns a male from twenty to sixty years of age, then your valuation shall be fifty shekels of silver,* according to the sanctuary shekel.*
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Kama mtu yeyote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa Bwana, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana, 3thamani ya kukomboa mwanaume mwenye kati ya umri wa miaka ishirini na miaka sitini itakuwa shekeli hamsini* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu; 4ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini.* 5Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini,* na mwanamke shekeli kumi.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.