Walawi 27:1
Leviticus 27:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Leviticus 27:1 in English
Leviticus 27:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Kama mtu yeyote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa Bwana, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana, 3thamani ya kukomboa mwanaume mwenye kati ya umri wa miaka ishirini na miaka sitini itakuwa shekeli hamsini* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.